Saturday, 18 October 2014

VIDEO-MCHAWI ADONDOKA TOKA ANGANI WAKATI AKIENDA KUWANGA USIKU.


Hivi karibuni tuliweka hewani tukio zima la mama mchawi wa kinigeria aliyekuwa amedondoka chini huku akiwa uchi na mwili ukiwa na vidonda sehemu zote... Mama huyo alidondoka dakika chache baada ya kujigeuza ndege na kupaa hewani akienda kumuua mtoto mchanga wa binti yake wa kumzaa. Inadaiwa kuwa. binti huyo amekuwa akizaa watoto na kufariki dakika chache baada ya kuzaliwa. Kumbe mbaya wake alikuwa ni mama yake mzazi ambaye alikuwa akivifuata vitoto hivyo na kisha kuviua.Imearifiwa kuwa dada wa watu kazunguka kwa waganga mbalimbali kutafuta tiba bila mafanikio, na ndipo alipoamua kumrudia mwenyezi mungu kwa kumpigia magoti, kumlilia na kumweleza shida zake kwa njia ya maombi, kitu ambacho Mungu baba wa mbinguni amekijibu kwa kumdondosha mama huyo baada ya nguvu ya maombi kumzidi.Hapo chini nimekuwekea video nzima toka Nigeria ikionyesha tukio zima la mama huyo na jinsi polisi walivyokuwa wakihangaika kumnusuru asichomwe moto na raia wenye hasira.

Flying Bird turn into old woman in Oshodi

No comments: