Thursday, 16 October 2014

Wiz Khalifa Ana Pepo La Ngono?

Sara Dastijan

Kumekuwa Na Uvumi kuwa msanii Wiz Khalifa Ameonekana Akijinafasi Na Mwanamke Mwingine Ambaye ni Mwanamitindo maarufu Kutoka Nchini Ujeruman Ajulikanae Kwa Jina La Sara Dastijan . Mara Kadhaa Wameonekana Sehemu Mbalimbali Huku Wakiwa Wameshikana Mikono kimahaba,Awali Wiz Khalifa Alikuwa Mume wa mwanadada Amber Rose Lakini Kwa Sasa Kila Mtu Ana Maisha Yake,baada ya Ndoa yao kuparaganyika wiki kadhaa zilizopita.

No comments: