Monday, 3 November 2014

Wanajeshi wamewaua washambulizi sita waliojaribu kuvamia kambi ya jeshi ya 17 Kenya rifles


Wanajeshi mjini mombasa wamewaua washambulizi sita waliojaribu kuvamia kambi ya jeshi ya 17 kenya rifles iliyoko mtaa wa kifahari wa nyali. Mshambuliaji mmoja alikamatwa na anasaidia polisi kwenye uchunguzi. Viongozi wa kisiasa na kiusalama mjini mombasa wamepongeza vyombo vya usalama kudhibiti wahalifu hao huku wakisema mombasa ipo salama wa salmin. Shambulizi jingine dhidi ya kituo cha polisi wa utawala malindi pia lilifanyika wakati sawia na uhalifu wa mombasa. Kulikoni?

{VIDEO}Wanajeshi wawaua washambulizi sita waliojaribu kuvamia kambi ya jeshi ya 17 Kenya rifles

No comments: