Sunday, 18 January 2015

DANSA WA DIAMOND AFUNGUKA JINSI ALIVYODATISHWA NA AUNT EZEKIEL.

DANSA  wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wa GPL juzikati, Iyobo.
alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29,
hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

No comments: