Friday, 9 January 2015

PICHA-DIAMOND & PSQUARE WAFUNIKA UZINDUZI TUZO ZA GLOCAF AWARDS{NIGERIA}

Wasanii wa Africa walipata nafasi yakutoa burudani katika tuzo hizo za GloCafAwards‬  kama Uhuru Mr lavour Uhuru ,soweto gospel choir na wengineo Lakini Watu Waliguswa na Nyimbo ya diamond mdogo My Number one remix ambayo Plutnmz alionyesha uwezo wakuimba ubeti wa Davido Wote Bila yakufwata Cd Back Play nakufanya vizuri
P square walifanikiwa kuwa kosha mashabiki wao baada ya kuimba nyimbo mbili Test MOney Na Ejajo 
 




No comments: