Wednesday, 28 January 2015

RAIS JK AWAITA VIONGOZI WOTE WAKUU WA TAIFA WA ZAMANI IKULU KUJADILI RAIS AJAYE NA RUSHWA ZA SASA ZA URAIS CCM!!


"Kabla Rais jakaya M. Kikwete hajaondoka nchini jumapili aliwaiita IKULU wazee waliowahi kuwa viongozi wa ngazi za juu sana na wengine bado wakiwa bado wanafanya kazi wazee hao walizungumza mambo mengi sana likiwepo baadhi ya watu wanaogawa fedha nchi nzima ili wachaguliwe kuwa marais mwenyekiti wa wazee hao Rais mstafu wa awamu ya pili mzee Ali Hassan mwinyi alisema wazee wanajua nani atakuwa Rais mwadilifu wa nchii hii mwenye hofu ya Mungu anayetumia pesa siku ikifika atalia na kusaga meno IKULU sio kariakaa kila mtu anaenda tu na asiyekuwa na sifa anaenda Mzee Mwinyi aliishangaa sana TAKUKURU kushindwa kuwakamata wanaogawa fedha chafu nchi nzima huku wananchi masikini wakiteseka kwa kukoswa dawa mahospitali pia aliwashangaa sana baadhi ya watu wanaosema mtu fulani asipopitishwa kugombea urais CCM itasambalatika itakufa. Mzee mwinyi alisema CCM itaendelea kuwepo ccm haiongozwi na mtu mmoja akiondoka CCM inakufa au kikundi cha watu wakiondoka ccm inakufa CCM itaendelea kuwepo."

No comments: