Trafiki anamlazimisha dereva kuwa chombo kinachompima ulevi kimenasa harufu yake kuwa amelewa wakati dereva katika maisha yake hanywi na hajawahi kuonja hata togwa. Waliporudia mara 6 kipimo kilionyesha hivyo hivyo baadae Trafiki wenzie waliokuwa pembeni waligundua kuwa yule trafiki anaempima dereva ndiye kalewa hivyo harufu inayokamatwa na kipimo ni ya trafiki huyo huyo anaepima.Walimruhusu dereva aendelee na safari yake ya kupeleka abiria Mbinga.Aaaaaaah,NOMA SANA,
MATRAFFIC vyapombe jiandaeni kuumbuliwa na UTANDAWAZI.
No comments:
Post a Comment