Thursday, 15 January 2015

Wimbo wa Lil Wayne wenye mashairi kuhusu kujitoa Cash Money.

Kutoka kwenye mixtape yake ya Sorry 4 the Wait rapa Lil Wayne ametumia mdundo wa wimbo wa Future ‘Honest‘ kufanya wimbo wa Sh!t alipozungumzia muda wake ndani ya lebel ya Cash Money Records.
Wezzy anasema “Did my time at Cash Money / Time served and release / But this agent ain’t free, word / That’s just word on these streets / But that shit is old news, that shit yester-week /
I’m just focused, focused on my expertise.
USIKILIZE WIMBO WENYEWE HAPO CHINI,

No comments: