![]() |
| LADY JAY DEE NA MUMEWE GADNER.G.HABASH SIKU YA HARUSI YAO. |
Kuwapa mademu magari yangu waendeshe na kuyagonga wakati niko safarini. Ukiachilia mbali vipigo.Kutembea na wahudumu wa restaurant yangu.Ushahidi ninao. .....niliwahi mkuta anawashika mapaja na akakiri kosa. bado kupigana na kuwatusi wateja pia.Kifupi ilikuwa ni ndoa ya mateso.anafunguka "Jide"

No comments:
Post a Comment