Thursday, 26 February 2015

NDOA YA MUIGIZAJI SLIM OMARY YAVUNJWA RASMI NA MAHAKAMA.

Muigizaji Slim Omary na aliyekuwa mkewe Asia Morgan.
NDOA ya staa wa filamu nchini, Salim Omary ‘Slim’ na mkewe Asia Morgan imevunjwa rasmi na Mahakama ya Mwanzo ya Magomeni jijini Dar kufuatia mgogoro wa muda mrefu. Hakimu aliamuru watalaka hao kugawana mali zote walizochuma pamoja likiwemo gari walilozawadiwa wakati wa harusi yao, ambalo ndilo lilikuwa chanzo cha mgogoro huo.

No comments: