Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes, ameshangazwa na
kitendo cha wasanii wengi kutojitokeza katika mazishi ya baba yake
mzazi, Ebby Sykes
“Nilitegemea kwakuwa tunampumzisha baba yangu hapa hapa Dar es Salaam, wangekuja wasanii wengi ambao ni marafiki zangu, lakini hali ilikuwa tofauti kabisa,” .
“Nilitegemea kwakuwa tunampumzisha baba yangu hapa hapa Dar es Salaam, wangekuja wasanii wengi ambao ni marafiki zangu, lakini hali ilikuwa tofauti kabisa,” .
“Sijui walijua nitakuja kuwaomba fedha zao, mimi nilishapata michango
mingi kutoka kwa watu wengine mbalimbali, ukweli wasanii tuache roho za
kimasikini,” alisema.
Sykes aliendelea kusema amegundua asilimia kubwa ya wasanii wamekuwa wakipendana wakati wa raha tu, lakini inapofika muda wa matatizo kila mmoja hukimbia.
*Unalizungumziaje jambo hili?
Tuma maoni yako kwenye page yetu--->>>>>https://www.facebook.com/NgessakinolloSykes aliendelea kusema amegundua asilimia kubwa ya wasanii wamekuwa wakipendana wakati wa raha tu, lakini inapofika muda wa matatizo kila mmoja hukimbia.
*Unalizungumziaje jambo hili?

No comments:
Post a Comment