Mwigizaji na mwongozaji wa filamu mkubwa hapa Bongo, Jacob Stephen
‘JB’ hivi juzi kati amekumbana na kashfa nzito ya kugeza moja ya filamu
ya kutoka India ‘Bollywood’.
Filamu ya JB inayokwenda kwa jina la Mzee wa Swaga ambayo inafanya vizuri sokoni hivi sasa inadaiwa kuwa ni “Copy and Paste” ya filamu moja maarufu kutoka Bollywood inayofahamika kwa jina la "Ladies VS Ricky Bahl".
Akizungumza kupitia kipindi cha take one, Zamaradi Mketema amethibitisha usanii huo uliofanyika na kampuni maarufu ya JERUSALEM inayomilikiwa na JB, Kuwa karibia scene zote zilizochezwa na Filamu ya "mzee wa swaga" imeiga kama ilivyo kuanzia story hadi idadi ya waigizaji wakuu kutoka kwenye filamu hiyo ya kihindi iliyotoka mwaka 2011.
Mtangazaji huyo amelaani vikali utapeli huo uliofanyika na kampuni ya JB huku akijifanya yeye ndiye mtunzi na mwandishi wa story hiyo wakati ukweli anaujua mwenyewe.
Baadhi ya PICHA zilizochukuliwa kwenye Filamu ya "MZEE WA SWAGGA",
NB:-PIA HII NDIYO TRAILER YA MOVIE HII YA "MZEE WA SWAGGA".......KOSA la DEFENCE ni GOLI............
Kama wewe JE WEWE umeziona FILAMU zote hizi mbili yani "Ladies VS Ricky Bahl" na "Mzee wa Swaga" yake JB ebu tujuze hapa>>>>https://www.facebook.com/Ngessakinollo

No comments:
Post a Comment