Bwa’mdogo a.k.a Serengeti Boy kutoka Kundi la Makomando, Fredy Felix
amesimulia namna alivyofaidi penzi la staa wa Bongo Movies, Jacqueline
Walper Massawe ‘Wolper’.
Akizungumza na GlobalTV Online kwenye mahojiano maalum juzikati, dogo huyo alisema kuwa katika maisha yake ya kimapenzi hakuna mwanamke ambaye aliwahi kutoka naye na kujiachia kwa furaha kama ilivyo kwa Wolper.
“Kiukweli msichana pekee ambaye nimewahi kuwa naye katika mapenzi na kumpenda kwa dhati ni Wolper pekee.“Mara yangu ya kwanza kukutana naye ilikuwa kama ‘sapraiz’ vile (habari zinasema kwamba walikutana maeneo ya Kinondoni), alipoingia kwangu nashukuru naye alinipenda na kunifanyia kila nilichohitaji.
“Nampenda sana Wolper na kila siku nimekuwa nikiahidi kwamba huyo ndiye mwanamke pekee ambaye nitakuja kuishi naye hata kama ni uzeeni maana ninampenda kutoka moyoni.“Sidhani kama moyo wangu utampenda mwanamke mwingine kama nilivyompenda Wolper. Kiukweli niliinjoi sana penzi lake,” alisema Fredy huku akijutia kumwagana naye bila sababu ya msingi.
Alipotafutwa Wolper ili kupata undani wa ishu hiyo simu yake ilipokelewa na aliposomewa mashtaka yake alikaa kimya bila kujibu chochote. Hata hivyo jitihada za kumtafuta ziliendelea na atimaye kupata kujua alichokuwa akifuatiliwa nacho.
Na atimaye kufunguka kwa mshangao kama ifuatavyo,
"Huyu mdogo wangu ambae hata mdogo wangu alienifuata Mimi ni mkubwa kwake na ni mrefu pia kwake nisaidieni tuu. Maana kwanza hata Family yangu na Mwanaume wangu akiona hili gazeti ni Fedheha na Aibu kubwa. Sikatai mapenzi hakuna ukubwa wala utoto lakini Mimi binafsi sijapenda kilichoandikwa katika hili gazeti. Jamani ungwana uko wapi hapa?? Je, kijana ulieandikwa hapa naomba uthibitishe ni lini umenivua nguo kwa maandishi na matamshi Maana hili sitolifumbia Macho nitakufunga na hutoamini katika Maisha yako. kikubwa nataka kujua nikweli umeenda kwenye gazeti nakuongea nilichokisoma au laah?" Narudia tena ni lini umenivua nguo yangu nakujamiana na Mimi jacqueline wolper Massawe mwenye sura hiyo hapo labda majina tunafanana na hata sura je tunafanana?? Amefunguka Jackline Wolper
Source-EATV

No comments:
Post a Comment