Monday, 27 April 2015

Brand New Video By JOH MAKINI Feat G NAKO & NAHREEL-Nusu Nusu{Official Video}

Ni staa wa hiphop kutoka Tanzania ambaye mwaka 2015 umepewa baraka nyingi kwake ikiwemo video yake ya XO kuanza kuchezwa kwenye TV kubwa ya nchini Nigeria (Sound City) lakini pia time hii Joh Makini amerudi kwenye headlines na video yake mpya ya #nusunusu aliyoifanyia nchini Afrika Kusini,

No comments: