![]() |
| Mh,Reginald Mengi akiwa na Familia yake. |
Dr. Reginald Mengi alipoulizwa kwanini ameamua kumuoa Jackline Ntuyabaliwe{Former Miss Tz} alijibu kama ifuatavyo:
Nimemuoa Jackline kwasababu yuko tofauti na wanawake wengine ambao nimeshawahi kuwa nao.
1. Jackline ananipikia chakula kuanzia chai, lunch mpaka dinner.
2. Jackline ananifulia nguo zangu kwa mikono yake sio mashine
3.Jackline anajua nafasi ya mwanaume na nafasi ya mwanamke kwenye nyumba.
4. Jackline ananipenda ndio mana ananifanyia vitu ambavyo wanaume wengi tunapenda kufanyiwa hasa unyenyekevu wake kwangu.
5. Jackline tofauti na watu wengi wanavyomchukulia hakufuata pesa kwangu bali ana mapenzi ya dhati na mimi.
SOMO LA UJUMBE HUU. Kama wewe ni mwanamke na umeolewaTafadhali TAFAKARI NA CHUKUA HATUA ZA HARAKA KUIMARISHA NDOA YAKO.

No comments:
Post a Comment