Thursday, 14 May 2015

DIAMOND AKWEA BODA BODA KUWAHI SAFARI YAKE YA LONDON LEO ALFAJIRI.

 FOLENI YA MAGARI ASUBUHI KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM,FOLENI INAYOSABABISHWA NA WANANCHI WANAOJARIBU KUWAHI MAKAZINI,MASHULENI NA KWENYE SHUGHULI ZAO ZA KUJIPATIA RIZIKI,IMEMLAZIMU MSANII MAHIRI WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA{BONGO FLEVA} @Diamond Platnumz KUTUMIA USAFIRI WA BODABODA KUWAHI NDEGE ALFAJIRI YA LEO,AMBAKO DIAMOND ANAELEKEA JIJINI LONDON{UK} KWA AJILI YA SHOW MAALUM ILIYOPEWA JINA LA "LONDON's RUGBY 7'S AFTER PARTY,SHOW HII IMEANDALIWA NA "ZURI HOUSE OF BEAUTY NA BONGO DEEJAY"s
IANGALIE{VIDEO}YA DIAMOND AKIWA NDANI YA BODA BODA AKIWAHI NDEGE AIRPORT LEO ALFAJIRI
Damn this traffic jam...i had to take a motorbike so that i can get my LONDON Flight!!... UK can you guys see how much i love you...
(LONDON! Huu ni mfano Mzuri wa kuwa Mapenzi yananguvu kuliko Pesa, yaani kwa jinsi ninavyowapenda LONDON imenibidi nichkue bodaboda ili nsiachwe na ndege...)



Damn this traffic jam...i had to take a motorbike so that i can get my LONDON Flight!!... UK can you guys see how much i love you...(LONDON! Huu ni mfano Mzuri wa kuwa Mapenzi yananguvu kuliko Pesa, yaani kwa jinsi ninavyowapenda LONDON imenibidi nichkue bodaboda ili nsiachwe na ndege...)

Posted by Diamond Platnumz on Wednesday, May 13, 2015

No comments: