Thursday, 14 May 2015

PICHA-Mazishi ya mama mzazi wa mwanamuziki Enock Bella wa Yamoto band.

Enock Bella
Enock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki jana hospitali wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.






NB-
PICHA ZOTE KWA HISANI YA Millard Ayo.

No comments: