Mwigizaji wa filamu hapa nchini maarufu kwa jina la Tausi Mdegela mzaliwa wa mkoa wa Iringa ambaye ni shortest Artist anaye fanya poa kwenye industry hiyo, na muvi kibao alizocheza kama 'Kigodoro, Kantangaze, Gumzo, Hakuna matata, Akili mbovu, Daladala, Nahama' nk. Acording to the appearance of Tausi na mambo makubwa anayofanya SN ilipiganaye story Tausi kujua mipango yake ni nini then akafungua ukurasa wake.
"Na shukuru Mungu Tasnia ya uigizaji haipo chini kiivyo coz imeweza kunipatia umaarufu, pia ku- solve matatizo madogo madogo ya hapa na pale, ingawa sitegemei kuigiza pekee yake coz ninabiashara yangu ya kuuza madera. Sasa hivi naishi mwenyewe nimepanga ila nimeamua kuingia kwenye mahusiano ya kimapenzi!! hahah! muda utakapo fika nitamuweka wazi shemeji yenu.
SN: Utofauti wa maisha yako ya zamani na sasa upoje? Tausi: Aaa kiukweli utofauti upo coz zamani nilikuwa sijulikani but now kila nako pita watu wana nifahamu, pili zamani nilikuwa naishi kwa kutegemea but now najitegemea. SN: Malengo yako ni yapi ukiwa kama kioo cha jamii? Tausi: Malengo yangu ni kuja kuwa Muandaaji wa muvi hapo baadaye mungu akinijalia coz now na-swallow experience kwanza.
No comments:
Post a Comment