Ajali mbaya imetokea ikihusisha treni na basi la abiria.Ajali hiyo
imetokea eneo la Mororo,Tabora. Inasemekana watu watano wamepoteza
maisha kwenye eneo la tukio.
Imetokea mkoani Tabora barabara ya kwenda Urambo umbali wa kilomita kama kumi hivi kutoka Manispaa, baada ya gari la abiria kugonga treni la mizigo kwenye Railway crossing, watu watano wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio.
waliotambuliwa ni wawili mmoja kwa majina ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa,
Taarifa hizi zimetolewa nusunusu na kituo cha radio VOT hapa Tabora.

No comments:
Post a Comment