Wednesday, 22 July 2015

DIAMOND AWASHUKURU WANAHABARI.

SIKU YA LEO MSANII DIAMOND PLATNUMZ AMEFANYA PRESS CONFERENCE NA WAANDISHI WA HABARI KWENYE UKUMBI ULIOMO NDANI YA HOTELI YA TANSOMA YA JIJINI DAR ES SALAAM,AMBAPO DIAMOND ALIPATA FURSA YA KUREJESHA SHUKRANI ZAKE KWA VYOMBO VYA HABARI,KWA KUMUWEZESHA KWA SEHEMU KUBWA KUFANIKISHA KUTWAA TUZO YA MTUMBUIZAJI BORA WA KIUME AFRICA NDANI YA TUZO ZA "MTV MAMA AWARDS 2015".

Page Liked · 5 hrs ·
 

Mapema leo kwenye Mkutano wa Kuwashukuru Waandishi na Vyombo vya habari kwa Support waliyonipatia kuhamasisaha na kuwafikishia ujumbe mashabiki wangu pendwa kuweza kunipigia kura hadi kuweza kuitwaa tunzo ya #Mtvmama2015 ..Shukran Nyingi ziwafikie @TigoMusicTz kwa kuweza kuifanikisha Shughuri hii, TANSOMA BUSINESS HOTEL kwa kunipatia Ukumbi pamoja na Chakula...COCACOLA kwa kuweza kunipatia Vinywaji pasipo kuwasahau @fastjetofficial kwa kunisaidia kunisafirisha Mimi na team yangu nzima South Africa kwenye #Mtvmama2015 na kurudi salama Nchini Tanzania

No comments: