Dongo lingine la Shilole kwenda kwa mpenzi wake Nuh Mziwanda ,inayesemekana kuwa wanatofauti hivi sasa kupelekea kulumbana mitandaoni kwa kurushiana vijembe mbali mbali,
Huu ni ujumbe aliouandika Shilole "Shishi Baby"kupitia Account yake ya Facebook,
Kidume unataka raha tu 'pesa hauna 'na bado siunaleta ujanja kwa mtoto wa igunga 'mjini hapa 'halafu sina habari 'wacha niwe busy na kazi zangu tu'mapenzi yashanishinda mie.nawapenda sana mashabiki wangu! Manopenda mitelemko kazi mnayo kupandisha vitonga hamtaki mtanyoookaa na kama ulikuwa unatembelea Kik yangu basi katafute snare

No comments:
Post a Comment