Tuesday, 14 July 2015

MACHALI AITOSA NCCR-MAGEUZI NA KUJIUNGA NA ACT

Mh,Mosses Machali.
Mbunge wa Kasulu Mjini {NCCR}, Moses Machali ametangaza rasmi kuachana na chama chake cha NCCR-Mageuzi na kuhamia ACT.

"Machali ambaye amekuwa Naibu Katibu Mkuu wa NCCR-Mageuzi amefikia uamuzi huo baada ya kuridhika na sera, falfasa na itikadi za Chama cha ACT-Wazalendo". 

Taarifa zimesambaa hapa Kasulu kuwa MBUNGE WA Kasulu mjini Moses Machali atafanya mkutano wa kihistoria akiwa na Zitto Zuberi Kabwe tarehe 28 mwezi Huu,
Mkutano huo utafanyika katika kiwanja cha Kiganamo Kasulu Mjini 

No comments: