![]() |
| Bw,Mgana Msindai |
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Bw,Mgana Msindai amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh 70,000 (elfu sabini ) baada ya kukiri kosa la kusababisha kifo kwa uendeshaji wa kizembe.
Hii metokea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Chanzo-NIPASHE

No comments:
Post a Comment