Saturday, 11 July 2015

PICHA-KINACHOENDELEA DODOMA MUDA HUU.

Wakati majina matano ya waliopitishwa kwenye tano bora ya Wagombea CCM tayari imethibitishwa,tutakuwa tukikupa updates zote zinazoendelea leo July  11 2015 moja kwa moja toka hapa Dodoma.Na tayari tunazo picha kutoka Makao Makuu ya CCM katikati ya Jiji la Dodoma, na hiki ndio kinachoendelea kwa sasa.Fuatilia PICHA zAIDI.......







Kamishna wa Oparesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Paul Chagonja akitoa maelekezo.

Watu wa usalama wako jirani pia kuhakikisha mambo yako shwari.

Huyu jamaa alionekana Arusha pia kwenye Mkutano wa Lowassa akiwa amejiandika hivihivi, leo yuko Dodoma pia nje ya Makao Makuu ya CCM.
Mbunge Ridhwani Kikwete.

January Makamba kwenye pozi la selfie.

Waziri Bernard Membe, jina lake lipo pia kwenye wale watano waliopitishwa.



Aliyekuwa Meya waDar, Jerry Silaa

Waziri Nyalandu na Naibu Waziri Mwigulu Nchemba.

January Makamba akisalimiana na Waziri Lazaro Nyalandu.



January Makamba akisalimiana na Waziri Steven Wasira na George Mkuchika.

Naibu Waziri January Makamba. Jina lake lipo pia kwenye wale watano waliopitishwa.





No comments: