RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Monday, 27 July 2015
PICHA:-LOWASSA ndani ya Kikao cha Kamati Kuu CHADEMA leo.
Baada ya maswali mengi juu ya hatma ya kisiasa ya Waziri Mkuu
aliyejiuzulu Edward Lowassa, leo Mh,Edaward Lowassa amealikwa kwenye Kamati Kuu ya CHADEMA.
- Kikao hicho kinafanyika Jijini Dar
Tazama picha,
Waziri Mkuu Mstaafu wa JMT Mh. Edward Ngoyai Lowassa akiwa Meza Kuu na viogozi wa CHADEMA
No comments:
Post a Comment