Monday, 13 July 2015

TAARIFA YA KIFO CHA MCHEKESHAJI{COMEDIAN}MKONGWE TOKA NCHINI KENYA MZEE OJUANG

Benson Wanjau"Mzee Ojwang"
Muigizaji Benson Wanjau wa Kenya maarufu kama Mzee Ojwang wa vipindi kama Vitimbi, Vioja Mahakamani, Vituko, Kinyonga na vingine vingi afariki dunia jana Usiku akiwa amelazwa hospitali ya taifa ya Kenyatta National Hospital. Mzee Ojwang alikuwa anasumbuliwa na Pneumonia.
Mzee Ojuwang na Mama Kayaii.
Wakenya wengi wameguswa na msiba huu huku baadhi ya watu wakipost ujumbe tofauti kwenye mitandao wa Twitter kuonyesha kuguswa kwa msiba huu wa aliekuwa mchekeshaji mkongwe wa Kenya.
Mzee Ojwang amefariki akiwa na miaka 78.

No comments: