Thursday, 27 August 2015

Entertainment Ni kweli ndoa ya Marlaw na Besta imevunjika?

Wasanii Besta & Marlaw.
Besta ambaye amesema si kweli kama ameondoka nyumbani kwake na kuthibitisha kuwa mpaka sasa bado anaishi na mume wake maeneo ya Mbweni, Dar es salaam…
amesema pia si kweli kama anamkataza kufanya muziki bali anajipanga na bado ataendelea na kazi zake kama kawaida
Alipohojiwa Marlaw alisisitiza kuwa si kweli kuwa ndoa yao imevunjika,nakudai kuwa bado wako pamoja na mpaka sasa ina miaka minne.

No comments: