Kampuni inayosimamia vipaji ya Rockstar4000 imetangaza rasmi kuwa msanii
wao Ali Kiba atamshirikisha msanii wa Marekani Neyo kwenye wimbo wake mpya.
Tangazo linasema,
” Exciting News: African superstar Alikiba will be collaborating with International Superstar Ne-Yo — More news to follow…. #kingkiba #ROCKSTAR4000 ”
“Alikiba and Ne-Yo Collaboration! Two world class amazing complete musicians in one room! Explosive Amazing Magic! Keep you posted…. @officialalikiba #kingkiba #ROCKSTAR4000 #RockstarDiaries #CokeStudioAfrica #CocaCola @sevenmosha @neyo ”
Neyo alikuwa Afrika hivi karibuni akifanya show kwenye tuzo za MTV-MAMA AWARDS nchini Africa Kusini Na alikutana na wasanii tofauti wa Afrika.
Ukiacha Neyo, tayari Ali Kiba amethibitisha kufanya wimbo na Msanii Davido wa Nigeria.

No comments:
Post a Comment