Mwanamuzi kiwango anayefanya poa nchini Uganda Guvnor, yupo kwenye maandalizi mazito ya kufunga Ndoa kati yake na mpenzi wake bibi wa kizungu mwenye umri wa miaka 70.
Guvnor ametumia ukurasa wake wa Facebook, kumtangaza mwenza wake huyo kwa mashabiki wake pamoja na kuwajuza tukio kubwa la ndoa kati yao.
Wazungu wanasema ‘Age is a number’, lakini tukio hili limevuta hisia za watu wengi Instagram wakionekana kupingana nalo, kwa kuwa Guvnor ni kijana mwenye umri wa miaka 34

No comments:
Post a Comment