Habari zilizothibitishwa ni kwamba Asubuhi ya leo zari amejifungua mtoto wa kike na tayari alishapatiwa jina tayari.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Planumz amepost picha ya mama yake akiwa amebeba mtoto huku zari akiwa pembeni na kuandika “My mom’s face it’s enough to Express how i feell
… Welcome to the world @princess_tiffah
”.
Hii inamaana mtoto wa Diamond Platnumz anaitwa Tiffah!!!.
Katika Mtandao wa Instagram Diamond Planumz amepost picha ya mama yake akiwa amebeba mtoto huku zari akiwa pembeni na kuandika “My mom’s face it’s enough to Express how i feell
Hii inamaana mtoto wa Diamond Platnumz anaitwa Tiffah!!!.

No comments:
Post a Comment