Mama Ongea na mwanao ni kampeni ambayo imeanzishwa na baadhi ya wasanii
wakiongozwa na Steve Nyerere na Wema Sepetu kwa lengo moja tu la
kuwaamasisha wazazi kuongea na watoto wao na kuwapa Elimu juu ya mambo
mbalimbali kuhusu uchaguzi pamoja kuwahamasisha kuipigia kura CCM chama
ambacho wanaamini kinao uwezo wakuwaletea maendelea wayatakayo...
Hafla hiyo ilifanyika Hyatt Regency Kilimanjaro jijini Dar es salaam na
mgeni rasmi alikuwa Mh. Jakaya Mrisho Kikwete rais wa Jamuhuri ya
muungano wa Tanzania.
|
No comments:
Post a Comment