Tuesday, 1 September 2015

DR. MAGUFULI ATINGA SONGEA, AWEKA SHADA LA MAUA KWENYE KABURI LA MAREHEMU KAPTENI JOHN KOMBA

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiweka shada la maua katika kaburi la marehemu Kapteni John Komba huko Lituhi mkoani Ruvuma.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akitoa heshima katika kaburi la Kada maarufu wa CCM Marehemu John Damiano Komba katika kaburi lake huko Lituhi mkoani Ruvuma kulia ni Mjumba wa Kamti kuu ya CCM Ndugu William Lukuvi.
Kutoka kulia ni Mwingulu Nchema, Jenista Mhagama na William Lukuvi wakiteta jambo.
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Songea mjini Dr. Emmanuel Nchimbi akizungumza na wananchi na kumpigia debeMgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa na watoto mara baada ya kumaliza mkutano wake Peramiho.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Mwanafunzi mwenye ulemavu wa  ngozi mara baada ya kumaliza mkutano wake uliofanyika Peramiho.
Wana Peramiho wakimkaribisha Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi Mh. Jenista Mhagama mgombea ubunge wa jimbo la Peramiho katika mkutano uliofanyika Peramiho.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimsikiliza mgombea ubunge wa jimbo la Mbinga Komredi Sixtus Mapunda wakati alipokuwa akiwaomba kura wananchi wa mji wa Mbinga.
Baadhi ya wananchi wakiwa wameshika picha za Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mmoja wa wana CCM akifuta vumbi kwenye picha ya Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia  kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa majimaji mjini Songea leo ambapo mkutano huo ulihudhuriwa na maelfu ya wananchi mkoani humo.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akishuka kutoka katika kivuko cha Mv Lituhi mara baada ya kuvuka mto Luhuhu akitokea mkoani Njombe wakati akiwa njiani kuelekea Mbinga mkoani Ruvuma kuendelea na kampeni zake.
Akizungumza katika mkutano huowakati akiomba kura Dr. John Pombe Magufuli amewaambia anataka kuijenga Tanzania mpya yenye viwanda vikubwa, vya kati na vya chini uli kuboresha uchumi wa nchi hiyo na kuongeza ajira kwa vijana wa kitanzania.
Mjumbe wa kamati Kuu ya CCM Mh William Lukuvi akiwapa salam za mikoa mingine ambako Dr. John Pombe Magufuli amepita.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Taifa mjini Mbinga.
Amesema serikali yake itaongeza kasi ya ujenzi wa barabara zaidi ya kasi aliyokuwa nayo akiwa Waziri wa ujenzi kwani hapo awali alikuwa akiagizwa kama waziri na sasa  akichaguliwa na watanzania yeye ndiye atakayeagiza na ole wake waziri atakayemteua asitekeleze maagizo yake atakiona cha moto.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akipunga mkono mara baada ya kuvuka mto Luhuhu akielekea Mbinga mkoani Ruvuma.
Umati wa wananchi ukiwa umefurika katika uwanja wa taifa mjini Mbinga katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Dr. John Pombe Magufuli.
Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi mjini Mbinga kwenye uwanja wa Taifa kumsikiliza Dr John Pombe Magufuli.
Kada wa CCM Bw. Amon Mpanju akiwahutubia wakazi wa mjini Songea mkoani Ruvuma jana.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea wa CCM jimbo la Songa Mjini Mh. Leonidas Gama.
 
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano ya Tanzania  kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa kata ya Lituhi.

No comments: