Sunday, 13 September 2015

MSANII ALICIOS AONYESHA MAPENZI YAKE KWA MWANAE.

Msanii Alicios mwenye asili ya Congo,aishie nchini Kenya ameonyesha mapenzi ya ndani kwa mtoto wake,hii ni baada ya msanii huyo kupost Picha akiwa na mtoto wake huyo kwenye mtandao wa Facebook na kuandika maneno haya:-

Page Liked · 16 hrs ·
 

No one will ever know the strength of my love for you... After all, you're the only one who knows what my heart sounds like from the inside. heart emoticon

No comments: