 |
| Msanii Mr,Nice akiwa hoi kitandani katika hospitali ya frolida-kahama,Mkoani Shinyanga. |
Kupitia taarifa iliyotolewa mtandaoni{Facebook}na Msanii mwenzie Best Nasso taarifa iliyoambatana na Picha ikiwataka wapenzi na mashabiki wa msanii Mr,Nice,pamoja na wapenda harakati za sanaa ya Muziki wa Bongo Flava kuhusiana hali ya msanii huyo.
No comments:
Post a Comment