Thursday, 3 September 2015

SHILOLE AZIDI KUKAHIDI ADHABU YA BASATA.

Shilole-"Shishi Baby"
Msanii Shilole (Shishi Baby) atimkia Marekani kufanya show, huku BASATA ikiendelea kusema kuwa adhabu yake ya kufungiwa mwaka mmoja iko iko pale pale.

Na hiki ndicho alichopost kwenye ukurasa wake wa Instagram,

" Shishi akeeee nipo ndani ya Houston Texas tayar kwa show jmosi ndani ya safari club nikiwa na kaka yangu @ommydimpoz kwenye stage hatari"

No comments: