Tuesday, 20 October 2015

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza rasmi Kuhama CCM

Dr,Eve Sinare.

Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

Akiongea na waandishi wa habari jioni ya Jana kada wa muda mrefu mpanga Sera na mikakati wa CCM na mshauri wa chama Dr Eve Hawa Sinare ametangaza rasmi  kukihama chama hicho na kujiunga na UKAWA.

Huyu ni mtu muhimu sana kwa CCM na msomi wa Sheria na Mambo ya Siasa aliyekuwa anashauri mikakati ya ushindi kwa Jakaya Kikwete katika chaguzi zilizopita.

No comments: