Sunday, 25 October 2015

RAIS KIKWETE ATIMIZA HAKI YA KUPIGA KURA MSOGA-BAGAMOYO.

Raisi Kikwete akiwa kwenye foleni ya kupiga kura Msoga Bagamoyo.....
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika foleni akisuburi zamu yake ya kupiga kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga kata ya Msoga wilayani Bagamoyo Oktoba 25, 2015.
Ofisa katika kituo cha kupigia kura katika kituo cha hospitali ya kijiji cha Msoga akihakiki kadi ya kupiga kura ya Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiandika kura yake ya siri.

.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwekwa wino na msimamizi wa kituo unaotambulisha kuwa amepiga kura.


No comments: