Wednesday, 28 October 2015

TAARIFA ILIYOLETA SINTOFAHAMU NDANI YA UKUMBI WA KUTOLEA MATOKEO-UCHAGUZI MKUU 2015{ZANZIBAR}.

BILA KUONGEZA CHUMVI NAILETA KAMA ILIVYO:
Wadau mbalimbali wakiwa wamejaa Salama Hall Bwawani ambapo ndio Kituo kikuu cha Kutangazwa matokeo ya Urais Zanzibar, ghafla tumepokea Statement kutoka kwa mmoja ya Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar ambae ni Kamishna Ayoub Bakari Hamad ambayo iko chini hapo unaweza kusema !
Basi wengine hata hiyo wataiyona refu hawatoisoma badala yake wataanza kutuliza na ku-forward habari nyengine, ili usiulize masaa isome mpaka mwisho kwani sijaongeza langu hivyo ukiniuliza nami nitakua sijui...Shukran




Chanzo: Ally Almafadhy

No comments: