Saturday, 17 October 2015

Yanayojiri kuaga mwili wa marehemu Deo Filikunjombe (Mb) - Kijichi jijini Dar es Salaam

Mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Ludewa, marehemu Deo Filikunjombe leo umeagwa nyumbani kwake, Kijichi jijini Dar

-Marehemu atapumzishwa kwenye nyumba yake ya milele, Jimboni kwake Ludewa.




Picha za kuaga miili ya marehemu nyumbani kwa Marehemu Deo Filikunjombe, Kijichi - Dar es Salaam



Familia ya Marehemu Deo Filikunjombe
Mke wa Marehemu.{Mwenye Gauni}
Mh,Rais J.M.Kikwete akimpa pole mke wa Marehemu.

No comments: