![]() |
| Tumaini Martin ‘Matumaini’ |
“Namshukru Mungu kwa mapito niliyopitia, nimeamua kumkabidhi Mungu maisha yangu kwa kumuimbia na wimbo wangu wa kwanaza ulikuwa ni Nimepona nikimshukru Mungu kwa muujiza wake,”anasema Matumaini.
Matumaini anasema kuwa ana albamu ya nyimbo sita ambazo zote amemshirikisha pacha wake katika fani ya uchekeshaji Kiwewe na wanaimba kikomediani kama wafanyavyo katika Komedi zao, Matumaini anasali katika kanisa la Mito ya Baraka.

No comments:
Post a Comment