Rais Dk.John Magufuli amefuta bodi ya afya Muhimbili na kumsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa Hospitali hiyo leo.
Magufuli ameifuta bodi ya afya ya hospitali ya Muhimbili na kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Muhimbili baada ya kutembelea hospital hiyo na kukuta Vifaa/vipimo vya MRI na CT-Scan hazifanyi kazi kwa kipindi Cha miezi 2 wakati MRI na CT-Scan za hospital za watu binafsi zinafanya kazi.
No comments:
Post a Comment