Mayungaa Narimi ambaye ni mshindi wa shindano kubwa la vipaji la Airtel
Trace Music Staramefika kwa mara ya kwanza kwenye Ofici za lebel kubwa
ya muziki ya Universal Studios mjini HollyWood nchini Marekani.
“There we are



for the first time in UNIVERSAL STUDIOS. …. HOLLYWOOD oow
thank you ALLAH,thanks @Airtel
Trace music star, thanks beautiful people……( you know what! Dont let
anyone stop yo dreams because i had a dream that one day i would love to
be in UNIVERSAL STUDIOS. ..HOLLYWOOD oow can’t even explain it more
because it’s more than happiness , what i can say is just join me on
this trip so that we can share somethings i love u guys
. (Kwa mara ya kwanza ndani ya UNIVERSAL STUDIOS… HOLLYWOOD OOW asante sana mungu sante sana @Airtel
Trace music star pia asante sans watu wangu wa zuri.Unajuwa nini
usiache mtu yeyote akusimamishie ndoto zako kwa sababu nilikuwa na ndoto
kwamba sikumoja ningependa kuwa UNIVERSAL STUDIOS. .HOLLYWOOD OOW
siwezi hata kuelezea sana kwani ni zaidi ya furaha, ninachoweza sema ni
kwamba ungana nami katika hii safari ili tu weze ku shea baadhi ya vitu
nawapenda sana sante.
. ”
Hizi ni baadhi ya picha alizotuonyesha Mayunga
“There we are
Hizi ni baadhi ya picha alizotuonyesha Mayunga



No comments:
Post a Comment