RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Tuesday, 24 November 2015
Mbunge mwanamke mwenye umri mdogo Tanzania.
Bi Halima Abdallah Bulembo, 24, anayetoka Kagera ndiye mbunge mwanamke
mwenye umri mdogo zaidi katika bunge la kumi na moja la Tanzania. Alizungumza na mwandishi wa BBC Kulthum Maabad kuhusu maisha yake katika
siasa.
No comments:
Post a Comment