 |
| Yericko Nyerere |
|
Toka sheria mpya ya Mitandao{Cyber Crime} kuanzishwa nchini tumeona wengi wakifikishwa Mahakamani kwa makosa mbalimbali yaliyoainishwa kwenye Sheria hiyo,ikiwemo kusambaza taarifa zisizo na uthibitisho kamili,Bw,Yericko Nyerere juzi alifikishwa kwenye Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na Shitaka hapo chini......
No comments:
Post a Comment