Wednesday, 4 November 2015

PICHA-APOSTLE TB JOSHUA AKUTANA NA FAMILIA YA LOWASSA NA VIONGOZI WA UKAWA NYUMBANI KWA Mh,LOWASSA.

Apostle Tb Joshua akiwa na Familia ya Mh,Edward Lowassa nyumbani kwake.
Mh,Edward Lowassa,Apostle Tb Joshua na Mtoto wa Mh,Lowassa.
Mh,Edward Lowassa akikumbatiana kwa Furaha na Apostle Tb Joshua muda mfupi baada ya kuwasili Nyumbani kwake.
Tb Joshua akiwa na Mh Lowassa na Mkewe wakimsindikiza wakati anaondoka Nyumbani kwa Mh,E.Lowassa.
Mwenyekiti mwenza{Ukawa}Inj James Mbatia akiongea jambo na Tb Joshua.

No comments: