| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan,
akizungumza jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Chiku Gallawa, Spika wa
Bunge, Job Ndugai na Katibu wake, baada ya hafla fupi ya Coktail
(Mchapalo) iliyofayika baada ya Rais Magufuli kulihutubia Bunge jana
jioni Nov 20, 2015 kwenye Viwanja vya Bunge mjini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment