Monday, 2 November 2015

QUICK ROCKA ADATA NA KAJALA KUFIKIA KUCHORA TATOO YA JINA LAKE KIFUANI.

Wimbi la Wasanii wa BONGO FLAVA kuchora TATOO milini mwao kushow luv kwa wachumba wao.imeendelea kuchukua nafasi kwa Wasanii hao,hali hii imetokea kwa Wasanii SHILOLE na NUH MZIWANDA ambao wao wote wawili wamejichora TATOO yenye jina la kila mmoja wao.
 

No comments: