Watu watano kati ya sita waliofukiwa katika machimbo ya nyangarata kwa siku 41 wameokolewa usiku wa kuamkia leo wakiwa hai.
Watu hao walikuwa wakiishi kwa kula nguo zao magome ya miti na udongo ambapo walikuwa umbali wa zaidi ya mita 10 ardhini baada ya kuangukiwa na kifusi..
Hivi sasa wamelazwa katika hospitali ya Kahama.
Chanzo-Star tv

No comments:
Post a Comment