Saturday, 7 November 2015

VIDEO:HISTORIA YA SAFARI YA U-DJ KWA "Deejay TASS"

Unapozungumzia wadau wa muziki huwezi ukawaweka mbali DJs coz ni  watu wenye ukaribu mkubwa  kwenye Tasnia ya hiyio. Hapa leo camera yetu imeangazia kwa DJ wa kitanzania ambaye ni miongoni kati ya Ma- DJ wanao fanya vizuri,kufuatia jitihada zake za kikazi, yaani hapa tunamzungumzia DJ Tass wa kituo cha radio cha Magic Fm pamoja na kipindi cha Wakilisha cha Maisha Magic-DSTV, kama unakumbuka mwaka jana 2014 alichaguliwa kwenda kuwapagawisha washiriki wa Shindano la Big Brother Africa (BBA) ambapo Idris ndipo alipoibuka na ushindi.
Akipiga stori na mwandishi wetu DJ Tass amefunguka mambo mengi kuhusiana na safari ya u-DJ katika Maisha yake,ushauri,faida, Changamoto, pia mambo yanayo wakabili DJs kwenye ndoa zao na Malengo yake hapao baadaye.

Kuyafahamu hayo yote tumia dakika 24, kuitazama hii full video interview iliyo changanywa na burudani ya muziki kwa mbaaaali, ukimaliza tunakuomba usibanduke kwenye tovuti yetu kwani bado tunaendelea kukujuza zaidi.

No comments: