Monday, 23 November 2015

WATANZANIA WAISHIO MAREKANI WAANDAMANA KUPINGA KUFUTWA UCHAGUZI-ZANZIBAR.

Wazanzibari waishio Marekani waandamana mpaka nje ya Ikulu ya Marekani, wapinga ZEC kufuta matokeo ya uchaguzi

-Waiomba Marekani iingilie mgogoro wa Zanzibar.




Maandamo yaliofanyika nchini Marekani, Wazanzibari wataka Ikulu ya Marekani ingilie mgogoro wa Zanzibar, baada ya Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa matokeo ya Uchaguzi yamefutwa.

VIDEO:-Wazanzibari waandamana mpaka white house kupinga uamuzi wa ZEC.

No comments: